tangazo

Thursday, May 5, 2011

Jamii ielimishwe madhara ya nyama isiyokaguliwa

Na Ramadhan Libenanga

MOJAWAPO ya jambo la hatari kwa maisha ya binadamu ni kula chakula bilka kuthibitishwa na wataalam husika.Kundi hatari zaidi kupata maaradhi yanayosabishwa na vyakjula visivyothitishwa na

Waziri Ghasia: Tutamaliza kero ya watumishi hewa serikalini

*Rais Kikwete: Warasimu wasivumiliwe kamwe

Na John Daniel

MOJAWAPO ya kilio cha watanzania ni serikali kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma katika sekta mbalimbali kinyume cha sheria.Mojawapo ya eneo inayolalamikiwa zaidi kwa

Ujue kiini cha hoja ya wafanyakazi TRL kudai kifuta jasho

Na Benjamin Masese

APRILI 4 mwaka huu ilikuwa ni siku muhimu iliyokuwa ikisubiriwa na wafanyakazi wa  kampuni ya Reli Tanzania (TRL).Siku hiyo ilikuwa ni siku ya mkutano wao uliokuwa umeitishwa na

Serikali na mkakati wa kutokomeza maleria nchini

*Waziri Mponda ataka jamii iongeze kasi ya vita

Na Rabia Bakari

UGONJWA wa maleria ni moja ya tisho kubwa kwa watanzania ukiachilia mbali UKIMWI,Kifua Kikuu (TB) na homa ya matumbo.Serikali na kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria (NMCP) kwa kushirikiana na wadau wakiwemo wahisani wamekuwa na juhudi kubwa